send link to app

Tenzi Za Rohoni


4.0 ( 960 ratings )
Referencia
Desarrollador Justin Bulenga
2.99 USD

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine.

• Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwa
utukufu wa Mungu.